Mashine ya kuvutia maji kwa ajili ya kumwagilia iwe ni bustani,shamba etc inauzwa ina bomba lenye urefu mita 100(kutoka chanzo cha mto mpaka kwenye mashine). Pia bomba la urefu wa mita 10 kwa ajili y a kumwagilizia inapatikana iringa! kwa mawasiliano...... 0713566772